kibarango
Senior Member
- Sep 6, 2014
- 146
- 309
Hadi Sasa haileweki KDF wako DRC kufanya Nini maana Sasa ni miezi imeenda wapo wanazurura tu.
Hili jeshi Lina sound kweli. Halijarusha hata jiwe kwa uelekeo wowote.
Gen Nyangah anazurula tu na mkongojo wake.
Mapigano yanaendelea kila Leo wao wanasubiri M23 iwakabidhi maeneo kwa mazungumzo. Naona wako katika aina Fulani ya diplomatic mission.