Nini Mission ya KDF Huko Kivu DRC

Nini Mission ya KDF Huko Kivu DRC

kibarango

Senior Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
146
Reaction score
309
Hadi Sasa haileweki KDF wako DRC kufanya Nini maana Sasa ni miezi imeenda wapo wanazurura tu.

Hili jeshi Lina sound kweli. Halijarusha hata jiwe kwa uelekeo wowote.

Gen Nyangah anazurula tu na mkongojo wake.

Mapigano yanaendelea kila Leo wao wanasubiri M23 iwakabidhi maeneo kwa mazungumzo. Naona wako katika aina Fulani ya diplomatic mission.
 
Hivi hawa si ndo wale wanajeshi waliwahi kuonekana wanaiba mikate na juisi kwenye mall iliyoshambuliwa na magaidi? Unategemea jeshi lisilo ma nidhamu namna hii wakapambane na waasi?
 
Stealing minerals, walidhani ni rahisi kama kufanya biashara ya mkaa na Alshabaab kule Kismayo,
Unfortunately hawana uelewa wowote wa Madini.
acha kukasirika basi. si unajua hizo ndio tabia zetu nyang'au ama ulitarajia tuende kukenua meno?
usiwe kama mwehu
 
acha kukasirika basi. si unajua hizo ndio tabia zetu nyang'au ama ulitarajia tuende kukenua meno?
usiwe kama mwehu

Hahaha, shida ni kuwa hamna uelewa wowote na biashara za madini, KDF inmbwela tu huko DRC . Unadhani biashara ya madini ni rahisi kama kuiba biscuits Westgate [emoji3][emoji3][emoji3]
Biashara za madini zina wenyewe, KDF si miongoni.
 
unajua ni kwanini walijenga ukuta Mirerani? imagine uwe nchi ya kipekee kutoa madini yasiyopatikana ulimwengu mzima kisha unashindwa mauzo sokoni na nchi ambayo 'haina uelewa wowote na biashara za madini'.
 
Heheh, mambo ya madini na mkunya aka mwingereza low budget wapi na wapi ndugu yangu?, waliokuwa wanafanya hii michezo ni wahindi, wala sio nyie kajamba nani.
Kwani huoni Kundustan inasomeka kama inaexport maua na Chai ? Wakati wanaoexport hizi bidhaa ni wazungu settlers. ?
 
Back
Top Bottom