sure!Majizi yameenda kuiba madini tu hayo!
acha kukasirika basi. si unajua hizo ndio tabia zetu nyang'au ama ulitarajia tuende kukenua meno?Stealing minerals, walidhani ni rahisi kama kufanya biashara ya mkaa na Alshabaab kule Kismayo,
Unfortunately hawana uelewa wowote wa Madini.
Jeshi linalodharaulika zaidi ukanda huuacha kukasirika basi. si unajua hizo ndio tabia zetu nyang'au ama ulitarajia tuende kukenua meno?
usiwe kama mwehu
acha kukasirika basi. si unajua hizo ndio tabia zetu nyang'au ama ulitarajia tuende kukenua meno?
usiwe kama mwehu
unajua ni kwanini walijenga ukuta Mirerani? imagine uwe nchi ya kipekee kutoa madini yasiyopatikana ulimwengu mzima kisha unashindwa mauzo sokoni na nchi ambayo 'haina uelewa wowote na biashara za madini'.Hahaha, shida ni kuwa hamna uelewa wowote na biashara za madini, KDF inmbwela tu huko DRC . Unadhani biashara ya madini ni rahisi kama kuiba biscuits Westgate [emoji3][emoji3][emoji3]
Biashara za madini zina wenyewe, KDF si miongoni.
unajua ni kwanini walijenga ukuta Mirerani? imagine uwe nchi ya kipekee kutoa madini yasiyopatikana ulimwengu mzima kisha unashindwa mauzo sokoni na nchi ambayo 'haina uelewa wowote na biashara za madini'.
Wameenda lini na kwa mission ipi?Naona JWTZ wana fanya kazi iliyo wapeleka pale DRC kazi kazi sio kuremba remba