Pamoja na yote,spika aliekuwa madarakani alijitahidi kufanya kazi kulingana na sera na taratibu za uspika.lakini kuna maswali makubwa yanayojijenga around him
1.kuandika vimemo kuwakanya wana cccm wabunge kuongea mambo yanayokiuka matakwa ya chama e.g kwa ane kilango
2.kuamua kuzima hoja ya richmond ambayo serikali ilikuwa bado haijatekeleza maagizo yote ya tume
3.kutokuwa mzalendo kwa kushiriki kuponda wabunge waliokuwa na hoja juu ya kupunguza malipo kwa wabunge
4.kusimamia mijadala na kuipitisha bila kufanya marekebisho ya msingi ambayo mara nyingi ilikuwa ikitolewa na kambi ya upinzani.
5.kushiriki kama mbunge na spika kupitisha sheria zinanazokandamiza uhuru wa habari na minority.
Kwa hoja hizo hapo juu,naona bado hatujapata viongozi kama che guavara aliye sema " i rather die standing tha live kneeling" huo ndio ukweli kuna kipindi spika ana kneel kwa ccm na viongozi wa chama.huu ni mtazamo wangu