JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Tulia wewe Arsenal inachukua kombe msimu huuMaajabu yatatokea mwaka huu kwa Arsenal kushuka daraja
Mi mwenyewe naiogopa. Conte na Kante balaaCHELSEA ya Konte ni balaa#KAA NAYO MBALI#HAIKAMATIKI
Mkuu tetea hojaMaajabu yatatokea mwaka huu kwa Arsenal kushuka daraja
Ww hizo ndoto za mchana......Maajabu yatatokea mwaka huu kwa Arsenal kushuka daraja
Mi mwenyewe naiogopa. Conte na Kante balaa
Uwekezaji uliofanywa kwenye EPL msimu huu tutarajie msimu ujao ndo English team kufanya vena kwenye uefahabari za mchana wana jf hasa wapenz wa mpira na ligi mbali mbali dunian
nini mtizamo wako juu ya ligi ya uingereza msimu huu
mana naona tim zimefanya usajil mkubwa sana kwanzia makocha had makipa,kuna uwezekano ubora wa ligi ya uingereza kurud yan kuona tim Za uingereza kufanya vzur ligi ya mabingwa ulaya ??
je kuna uwezekano tukaona top 4 ya miaka ya nyuma ikirud tena epl??
je kuna uwezekana wa kuendela kuchipuka tim za kufanya maajabu ya soka pale uingereza kama ilivyofanya leicester??
Conte na Guardiola watachuana pale juu ila mwisho wa siku Guardiola anaweza kuibuka kidedeaCHELSEA ya Konte ni balaa#KAA NAYO MBALI#HAIKAMATIKI
chelsea are the champions.Conte na Guardiola watachuana pale juu ila mwisho wa siku Guardiola anaweza kuibuka kidedea
Saiz wanatumia physics au?Liverpool wakipata kemistry wanayoitafuta wataniogopesha sana...
CHELSEA ya Konte ni balaa#KAA NAYO MBALI#HAIKAMATIKI