JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Habari za mchana wana JF hasa wapenzi wa mpira na ligi mbali mbali duniani nini mtizamo wako juu ya ligi ya Uingereza msimu huu.
Maana naona timu zimefanya usajil mkubwa sana kwanzia makocha hadi makipa, kuna uwezekano ubora wa ligi ya Uingereza kurudi yaani kuona timu za Uingereza kufanya vizuri ligi ya mabingwa Ulaya.
Je, kuna uwezekano tukaona top 4 ya miaka ya nyuma ikirudi tena EPL.
Je, kuna uwezekana wa kuendela kuchipuka tim za kufanya maajabu ya soka pale Uingereza kama ilivyofanya Leicester City?