Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Rk10

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2015
Posts
1,216
Reaction score
1,372
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
 
Ha ha ha ha haaaaaah 😂😂😂😂😂
We mshana jr unahitajika huku hebu njoo
 
Last edited by a moderator:
Mshana threads zake zimenipa wasiwasi mpaka nikaamua kuuja thread hii.
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

kwani hofu yako ni nini...?? au wewe
avatar283075_2.gif
ndiye unataka kuwa nyuma
ya mkuu mashana Jr ..?
mie naona ni mtu mwenye uelewa wake juu ya mambo mbali mbali
kama alivyo MziziMkavu na wengineo. Kila mtu ana eneo lake la kujidai
but for the case of the given guy, i can say that he is a multiple intelligence
guy who deserve the crown of being like a moving encyclopedia.
 
Mimi hapa ndio nipo nyuma yake...........namtuma kila kitu........

halafu mbona anachoandika mshana jr ni general knowledge tu.........kama ni mtu wa kutaka kujua mambo tofauti tofauti........anachoandika ni cha kawaida kabisa..........sijui kwa nini hatupendi kujifunza.........
 
Last edited by a moderator:
Nafikiri wewe Ni mchawi hasa kwanini kimekuuma sana?@mshana jr lete news za wachawi za kutosha azidi kuumbuka.kama umekoza sredi ya kuanzisha nenda kawange kenge wewe wa kuzimu.mshana usimjibu mchawi huyu naona moto unamuunguza.

Cjamzuia kutoa thread but naitaji ufafanuzi name jaribu kuwa mstaarabu huku siyo Fb.
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.

Kwanini atumwe na mtu, huyo atakaekuwa anamtuma ana nn cha ziada kumzidi mshana jr?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom