Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Nini na nani yuko nyuma ya mshana jr?

Mi nnafikiri huwa anatoa elimu tu kuhusu haya mambo kama ilivyo elimu nyingine either huwa anasoma vitabu then ana share experience yake,anavyoelewa yeye na sisi pia tunajifunza kupitia idea hizo.Ni kama mwalimu wa hesabu anajifunza kanuni halafu anakuja kuwafumbua akili na kuwapa ujanja na mbinu za kuelewa somo,hivo ni sehemu tu ya kueleweshana mengine siri yake.
Umenena vema
 
Wenye akili kubwa wanaweza kunielewa kirahisi lakini wenye akili ndogo Sana watachukua muda mwingi kuchanganua name kuelewa undani Wa thread hii.
Hehehe hilo andiko lako limekaa ki Le tamkoz....!!![emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Sasa kwanini usimpm??
 
M

m naona kama Mshana anao wateja wake wanao aamini hayo mambo yake, pili lazima ni mshirikina mkubwa sana aidha mganga or mchawi woote ni wale wale, na bahati yetu mbaya sana hii jamii yetu bado sana ina imani hizo za kimaskini/ potofu/ ufukara na watu wanapoteza rasilimali zao nyingi sana ikiwemo muda kwa upuuzi huo na hakika Mshana jr atakuwa na kipato kikubwa sn toka kwa hao wajinga ndg zetu
 
Usalama wa nchi, kitengo cha huduma za jamii

Sent from my E6553 using JamiiForums mobile app
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
Msoma nyota ila usimkaribishe kama una vijana wa kike anakuonyesha mpaka elimu zao wanapoenda kuishia usijekata tamaa kuwasomesha
 
Huyu Jamaa anayejiita mshana humu ndani amekuwa akitumia muda mwingi kuandika na kujibu comment za watu kuhusu mambo ya uganga, uchawi , ushetani na mambo ya kuzimu. Maswali yangu ni haya: 1.Nani anayemtuma?
2. Analipwa na nani?
3.Kwa mini anatimia muda mwingi kuandika haya?
4. Je siyo mmoja Wa waabudu shetani?
5. Lengo lake ni nini?

Naomba hoja zenu wana jf na yeye mshana Jr atajibu maswali haya na hoja zenu.
mshana jr anafanya KAZI kubwa sana kwa kutujulisha Yale tuliyokuwa hatuyajui, katufundisha namna ya utawala Wa nguvu za Giza ma mamlaka yake unavyofanya KAZI na namna ya kuuahinda
 
Sijawahi kusikia watu wakihoji wanachoandika wikipedia lakinj kwakuwa mshana kawa mtu wa kujibu watu ili wapate kuongeza ujuzi basi watu wanahoji. Ndo maana m..mae zenu mnavaa mitepesho bila kujua maana yake.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
M

m naona kama Mshana anao wateja wake wanao aamini hayo mambo yake, pili lazima ni mshirikina mkubwa sana aidha mganga or mchawi woote ni wale wale, na bahati yetu mbaya sana hii jamii yetu bado sana ina imani hizo za kimasikini/potofu/ufukara na watu wanapoteza rasilimali zao nyingi sana ikiwemo muda kwa upuuzi huo na hakika Mshana jr atakuwa na kipato kikubwa sn toka kwa hao wajinga ndg zetu
Kumbe JF bado wapo watu wenye "kuona" mbali.!!

Mkuu hapo kwenye Red umeongea ukweli mtupu kabisa!
Watu wanapoteza rasilimali zao kwa kuhadaiwa tu mpaka karne hii..!!
 
Back
Top Bottom