Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!
heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana
Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!
heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana
hapo ndipo nakataa!
zeropub ukiwa na buku tatu unakula ugali kokoto saaaaaaaaaaaaaaaafi
Vingine mbona hujavitaja? Mafuta/taxi, vocha, sehemu ya mapumziko if you understand what am saying.
lakini still haikuwa tabu!Hahaha! Kokotoo zilipanda bei ghafla!
Cheap gal huyo...hafai!
Naomba useme wewe Xpin,mie leo si muongeaji,si unajua tena.40,000-60,000. ZD upo?
Hahaha! Waulize wapwa Geoff, Kaizer na Fidel kilichowatokea Jumamosi. Wacha mchezo mazee. Mi ni mbahili lakini linapokuja swala la kilauri...... hivi kinyume cha ubahili ni nini? Acha tukate mayi bana siku zinakatika hizi.
What do you mean? so you hang around with expenive girls---( unawatoa wapi? bilz nini?)
Naomba useme wewe Xpin,mie leo si muongeaji,si unajua tena.
mkuu mbona unanisahau bana kunimensheni, au kwa vile nilikuja late??.
Geoff alipendeza balaa, never seen him before hahaaa.
Hahaha! Mkuu ulitia timu wakati memory card yangu ilishaingia virusi. Si umeona ndio nakumbuka. Geoff anamalizia minutes za kikao, kesho ataziweka hadharani. hahaha! Manake hata hakumbuki nani aliendesha tukutuku. Yeye au Fidel?
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??
Naomba useme wewe Xpin,mie leo si muongeaji,si unajua tena.
HEHEHEHE!Hahaha! Mkuu ulitia timu wakati memory card yangu ilishaingia virusi. Si umeona ndio nakumbuka. Geoff anamalizia minutes za kikao, kesho ataziweka hadharani. hahaha! Manake hata hakumbuki nani aliendesha tukutuku. Yeye au Fidel?
hapo ndipo nakataa!
zeropub ukiwa na buku tatu unakula ugali kokoto saaaaaaaaaaaaaaaafi
Professional gals bwana! Kwanza hizo expenses pasu pasu.....mnakula good time thats all, demu wa kunipiga mizinga hana nafasi na mimi!
nyie wazee hivyo vikao vyenu ndio vya kuondoka na wambulu, wasambaa nk...?...kokoto ni nini?