Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Nini nisifanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza?

Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!

heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana

Cheap gal huyo...hafai!
 
Acha ubahili, unapoamua kumtoa mtu Out, Jiandae kaka. wekundu watatu tu mbona wanatosha!!

heineken 4-----------10,000
Serengeti 5(zako)---- 7,500
chakula(roghly)-------15,000
-
-
-
Au mnasemaje waungwana

Vingine mbona hujavitaja? Mafuta/taxi, vocha, sehemu ya mapumziko if you understand what am saying.
 
Hahaha! Waulize wapwa Geoff, Kaizer na Fidel kilichowatokea Jumamosi. Wacha mchezo mazee. Mi ni mbahili lakini linapokuja swala la kilauri...... hivi kinyume cha ubahili ni nini? Acha tukate mayi bana siku zinakatika hizi.

mkuu mbona unanisahau bana kunimensheni, au kwa vile nilikuja late??.
Geoff alipendeza balaa, never seen him before hahaaa.
 
What do you mean? so you hang around with expenive girls---( unawatoa wapi? bilz nini?)

Professional gals bwana! Kwanza hizo expenses pasu pasu.....mnakula good time thats all, demu wa kunipiga mizinga hana nafasi na mimi!
 
mkuu mbona unanisahau bana kunimensheni, au kwa vile nilikuja late??.
Geoff alipendeza balaa, never seen him before hahaaa.

Hahaha! Mkuu ulitia timu wakati memory card yangu ilishaingia virusi. Si umeona ndio nakumbuka. Geoff anamalizia minutes za kikao, kesho ataziweka hadharani. hahaha! Manake hata hakumbuki nani aliendesha tukutuku. Yeye au Fidel?
 
acha bana!!, this is very serious!, duh si n'chezo.
 
wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanye nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??

Usifanye Vifuatavyo:

  1. Ukiwa unakula au Chew gum huku mdomo uko waazi.
  2. Get drunk .
  3. Smoke - unless your date is also a smoker,
  4. Kula garlic. Kwani date won't kiss you if you have smelly breath.
  5. Kuagiza chakula kibaya,
  6. Kusahau Condoms, ideally sex kwa siku ya kwanza haipaswi, tukirudi kwenye ukweli huwezi jua bali take precautions just in case you find your date irresistible. Otherwise just say NO!
  7. Kutaka kuwajuwa wazazi wake na kuchomekea swala la kuoa na kuongelea babies.
  8. Kuongelea habari ya ma exes wake au wako,
  9. Start talking about sex.
  10. Moan about things. Dates should be fun, not about listening to your problems whatever they are about.
  11. Kuchelewa date.
  12. Kuongelea habari zako non stop
  13. Kuanza kualalama kuhusu garama mlizo tumia.
  14. Kuwa na wasiwasi na mahali mlipo au watu wamewazunguka.
  15. Forget to ensure your date gets home safely.
  16. Cancel at the last minute.
  17. .....
  18. ........
Hayo kwa leo mengine wenzangu wataongezea
 
duh nimekupata, asante sana!
 
Hahaha! Mkuu ulitia timu wakati memory card yangu ilishaingia virusi. Si umeona ndio nakumbuka. Geoff anamalizia minutes za kikao, kesho ataziweka hadharani. hahaha! Manake hata hakumbuki nani aliendesha tukutuku. Yeye au Fidel?
HEHEHEHE!
jamaa anasema nilipendeza?!hivi nilivaaje?
 
hapo ndipo nakataa!
zeropub ukiwa na buku tatu unakula ugali kokoto saaaaaaaaaaaaaaaafi

nyie wazee hivyo vikao vyenu ndio vya kuondoka na wambulu, wasambaa nk...?...kokoto ni nini?
 
Professional gals bwana! Kwanza hizo expenses pasu pasu.....mnakula good time thats all, demu wa kunipiga mizinga hana nafasi na mimi!

You can Say It Again. Mi ndio maana napenda kujiexpress na mabaamedi. Elfu ishirini mnakula, mnakunywa, mnamegana na nauli bado iiapatikana ya kutosha. Ukichokana naye kesho anakufanyia mpango kwa rafiki yake. Hawana wivu na ni wabunifu na wazoefu. Wanatoa ushirikiano wa hali ya juu.
 
nyie wazee hivyo vikao vyenu ndio vya kuondoka na wambulu, wasambaa nk...?...kokoto ni nini?

Ningeshangaa sana usingeulizia kokoto! Hahaha! Wacha mchezo. Buku tatu unatafuna ugali na kokoto zenye akili. Then baada ya hapo bia zinamwagika kama mayi!
 
Back
Top Bottom