GP
JF-Expert Member
- Feb 5, 2009
- 2,049
- 161
kaaaaazi kwerikweri!.Kwa hasira nami nawahi zero. Ntawapa salamu zenu wapwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaaaaazi kwerikweri!.Kwa hasira nami nawahi zero. Ntawapa salamu zenu wapwa.
Unatakiwa u concentrate kwake tuu,sio kuwa macho mia mia,kwamba kila anayepita umtupie jicho,pia jaribu kukubaliana na hoja zake hata kama unahisi anaenda wrong,hawa watu huwa hawapendi kuwa crashed,haswa ktk jambo wanalohisi wapo sawa!!wana JF, ni mambo gani ambayo sipaswi kuyafanya nikiwa 'outing' kwa mara ya kwanza na totoz??
Kabisa... mwache yeye aongee sana ili upate kumwelewa....
Heh.. sasa kama mie nataka hiyo ndito yake nijifanye siitaki na tayari nimeona mchangiaji akisema be yourself??
Hebu toa ushauri kidogo
shemeji ukiwa pale fanya kuDIPU BASIKwa hasira nami nawahi zero. Ntawapa salamu zenu wapwa.
Mnampa theories nyingi mtoa thread...muhimu kuwa na mkwanja,konom za kutosha na usinyonye maziwa mkifika sehem sehem..siku hizi wanapaka cocaine halafu wanaondoka na hilo GX-110 Lako...Lol
knight support.
Nguli haya endelea nimekuona sehemu unanichokoza sema nimeshindwa ku-Quote ili niwe na ushahidi hahaa
Nguli haya endelea nimekuona sehemu unanichokoza sema nimeshindwa ku-Quote ili niwe na ushahidi hahaa
mwenzio siku ya kwanza nilienda kanisani kwao (kanisa gani lile wanaonyeshaga kwa kutumia kituo kimoja kinaitwa ATN) tukasali wote nilikuwa mpole, siongei sana.
baada ya sadaka na matangazo tukatoka.tukashuka china town pale tukala msosi, wakati huo siongei sana, namsifia tu. siku hiyo hiyo jion nikala tunda la uhuru.
so inategemea ni nani na wewe unamchukuliaje!
nakumbuka kwamara ya kwanza siku hiyo nilivaa tai
hahahaha
hahaaaaa, huyu wetu mkuu!,
mpwa FL1 unakumbuka ulienda hewani?, hahahaaaa, una kasauti katamuu! (sore, OT!)
hahah sauti tamu kama kinanda cha mfalme ...cool
nimekugongea senxi, hakikisha mpwa!!
hahah sauti tamu kama kinanda cha mfalme ...cool
Byanda,
mbona mumepotezea mada hapa wote mida ya kati kuanzia saa 4 mpaka muda huu ndio naona mashambulizi mengi nikuwa internet ni yamgoa hapo job kwenu?????? naona hizi ndizo time za kutoka job huko kwenu.
Alafu FL1 kwenye mada nyingine kule hukujibu swali langu uka sepa faster why???
au Net nayo ilikuwa ya mgao kwenu??? best au??
mnachekesha nyie Fidel ukilewa unacheza faulo eeh binamu?