Nini sababu kuu ya Moyo kutanuka? ....

Nini sababu kuu ya Moyo kutanuka? ....

kbosho

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2012
Posts
13,034
Reaction score
6,571
Hello wana JF,...hususani Jukwaa hili, Habari zenu?....

Naombeni mnipe shule kidogo, Moyo kutanuka kitaalam inaitwaje hiyo hali? "ugonjwa"....!

Pia nini sababu kuu ya moyo kutanuka?.....

Mwenye tatizo hili anatakiwa kutumia vyakula gani?.....
 
Kwa kifupi

Kitaalamu inaitwa Cardiomegally

Visababishi.

Presha ya Kupanda bila kudhibitiwa ( Hypertension)

Upungufu mkubwa wa damu ( Anaemia)

Matatizo ya kuzaliwa ( Congenital acquired)

n.k

Ushauri

Apunguze matumizi ya chumvi,apunguze vyakula vya mafuta mengi, kama ana upungufu wa damu atibiwe haraka, kama anayo presha aanze dawa mapema.
 
mkuu usiporidhika na hilo jibu hapo juu jaribu ku-google maana hapo panahitajika maelezo marefu sana.
 
Back
Top Bottom