Nini sababu na suluhisho la mikono kutetemeka?

Nini sababu na suluhisho la mikono kutetemeka?

bado ndugu, natafuta dawa uliyonishauri ila pharmacy nyingi wananiambia hawana hiyo dawa
ninavyojua kutetemeka mikono ni tatizo la kurithi nilivyoambiwa na shangazi yangu..

mfano marehemu baba yangu alikuwa na taizo hilo alilorithi kwa baba yake ambapo familia yao wote wamepata tatizo hilo hadi dadke nae anatetemeka mikono...

sijajua kwako historia ya tatizo lako kuna mtu ktk ukoo wako au familia yako yupo?
 
Pole mkuu. Ila hats hata mimi nilipokua kua niligundua ninatatizo Kama hilo lkn huzidi ninapokua mazingira ya joto kali.

Kwangu sababu ni msongo Wa mawazo.

Hivyo najaribu kujicontrol kadri niwezavyo nisije fika pabaya.

Ilifikia wakati hata nikiwa kwenye 6 kwa 6,Hujikuta mwili mzima unavibrate ,hali inayopelekea kupoteza muelekeo kwenye shughuli nzima.

Lakini sasa ni mara chache mikono hutetema tena kwa mbali.
Na nafanya mambo yangu .
Aksante
 
Natambua na naheshmu great thnkers mliopo humu na ndio sababu nikapenda kuulza. Tatzo langu hli halijaanza leo wala jana, ni tangu utotoni, ilifka mahali nikaona ni kawaida ila baadae jamaa zangu walinambia ni ugonjwa na unatbika. Wengne wananipa moyo kwamba ni kawaida. Kinachonisumbua ni pale ninapokosa hata uhuru wa kushka ktu mbele za watu nikihofia kuchekwa. Tatzo lmekuwa kubwa hadi kuandka saa zingne nashndwa kuishka kalam na kuishia kuandka neno nisivyokusudia. Ndugu zangu najua wapo wanaopenda mzaha na hawakataliwi kwenye jamii, ila mimi hapa sijaomba mzaha ila msaada. Nitafurahia michango yenu nyote. Asanteni
Pole mkuu. Ila hats hata mimi nilipokua kua niligundua ninatatizo Kama hilo lkn huzidi ninapokua mazingira ya joto kali.

Kwangu sababu ni msongo Wa mawazo.

Hivyo najaribu kujicontrol kadri niwezavyo nisije fika pabaya.

Ilifikia wakati hata nikiwa kwenye 6 kwa 6,Hujikuta mwili mzima unavibrate ,hali inayopelekea kupoteza muelekeo kwenye shughuli nzima.

Lakini sasa ni mara chache mikono hutetema tena kwa mbali.
Na nafanya mambo yangu sawia.
Aksante!
 
Back
Top Bottom