Habari wana Jf, kama kichwa cha habari kinavosema, matokeo ya kidato cha nne yametangazwa leo hii.. pongezi kwa necta kwa kuondoa rank uchwara na pia kwa kujitahd kurudisha hadhi ya baraza baada ya uchafu wa 2015 mpaka 2021
Turud kwenye mada ufaulu wa somo la physics unasikitisha sana inafikia hatua mwanafunzi ana one ya 7 ila physics D.
Nini sababu wakuu
Umeongea ukweli mtupu, haya masomo ya sayansi yanahitaji mwalimu anaejua kweli kweli, walimu ndio chanzo cha masomo haya kuonekana magumu na watu kufeli.Somo tamu sana physics...ukielewa principles mbona unabonyeza kizenji tuu. Mie nilibahatika pata mwalimu bora wa physics alifanya kuenjoy hilo somo. Physics mchawi mwalimu tuu