Habari wana Jf, kama kichwa cha habari kinavosema, matokeo ya kidato cha nne yametangazwa leo hii.. pongezi kwa necta kwa kuondoa rank uchwara na pia kwa kujitahd kurudisha hadhi ya baraza baada ya uchafu wa 2015 mpaka 2021
Turud kwenye mada ufaulu wa somo la physics unasikitisha sana inafikia hatua mwanafunzi ana one ya 7 ila physics D.
Nini sababu wakuu
Turud kwenye mada ufaulu wa somo la physics unasikitisha sana inafikia hatua mwanafunzi ana one ya 7 ila physics D.
Nini sababu wakuu