KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
waislam wenyewe pia wana madhehebu piaNi nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Njaa kali sana Chifu, ila ishi ktk Biblia kama ilivyotabiri;Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote
Dini ni njia, Yesu alisema Mimi ni njia, kweli na uzima, mtu haji kwa baba ila kupitia Mimi.Nisikilize vizuri.
Hakuna Dini ya Kikristo
Bali kuna Imani ya Kikristo
Hata asiye na Dini anaweza kuwa mfuasi wa Imani ya Kikristo
Nisikilize vizuri.
Hakuna Dini ya Kikristo
Bali kuna Imani ya Kikristo
Hata asiye na Dini anaweza kuwa mfuasi wa Imani ya Kikristo
Neno dhehebu asili yake ni neno la kiarabu "dhahaba" lenye maana "alikwenda", na madh-hab maana yake ni mwenendo. Hivyo madhehbu ni mienendo ya wanazuoni wa imani fulani katika taratibu zao za ibada hasa kanuni au sheria maalum kwa ufahamu na mitazamo yao kutokana na maandiko ya vitabu vyao vya imani.Ni nini hasa kinafanya dini ya Kikristo kua na mgawanyiko mkubwa wa madhehebu kuliko dini ya Kiislam na dini nyingine "yaani madhehebu ni mengi kuliko kawaida" komenti bila kukosoa dhehebu lolote