Nini sababu ya hii kitu

Packson

Member
Joined
Dec 14, 2012
Posts
8
Reaction score
2
Jamani napata maumivu ya mifupa ya kwenye ugoko miguu yote,nashindwa kuelewa ni kitu gani kinasababisha hii kitu maana cjakimbia wala kufanya zoezi lolote cku za karibuni
 
Kamwone kwanza daktari umueleze historia ya ugonjwa akisha kuona atashauri ufanyaje tofauti na humu ndani madaktari sawa wapo ila hawaoni hiyo miguu iko katika hali gani...pole sana.
 
Una umri gan? Nin ukifanya unasikia miguu imetulia?je unapotezaga fahamu au kuumwa sana na kichwa? Je ni mifupa ya miguu tu au na mikono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…