Jamani napata maumivu ya mifupa ya kwenye ugoko miguu yote,nashindwa kuelewa ni kitu gani kinasababisha hii kitu maana cjakimbia wala kufanya zoezi lolote cku za karibuni
Kamwone kwanza daktari umueleze historia ya ugonjwa akisha kuona atashauri ufanyaje tofauti na humu ndani madaktari sawa wapo ila hawaoni hiyo miguu iko katika hali gani...pole sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.