Nini sababu ya kitovu kuwa kikubwa?

Loli

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
176
Reaction score
75
Habari zenu nyote? Samahani, embu naombeni mnieleweshe sababu za mtoto au mtu mzima kuwa na kitovu kilichochomoza na kuwa kikubwa.
 
Ni kwa sababu central line ya abdominal muscles haikujifunga vizuri na kuacha nafasi kubwa. Hiyo ni umbilical hernia ambayo kwa watoto wengi huwa inajifunga baadaye ila akishakuwa mkubwa itabaki hivyo hivyo. Kwa wakubwa kama inasababisha disturbance unafanyiwa operation. If it is benign unaendelea kudunda nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…