Ni kwa sababu central line ya abdominal muscles haikujifunga vizuri na kuacha nafasi kubwa. Hiyo ni umbilical hernia ambayo kwa watoto wengi huwa inajifunga baadaye ila akishakuwa mkubwa itabaki hivyo hivyo. Kwa wakubwa kama inasababisha disturbance unafanyiwa operation. If it is benign unaendelea kudunda nayo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.