Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Aeee ee never, never change,
Aeeeee never, never change
I need marijuana, mixer ganja
Na ganja tunakulaga kama fegi...
Wadeeepoo tuwabeba wadepo ao utunawabebaa [emoji445][emoji445]kiboro kimedinda mashavu yametuna haya wee haya wee [emoji445]nipe kidogo nichangamshe damu haya wee haya wee [emoji445]
 
Wadeeepoo tuwabeba wadepo ao utunawabebaa [emoji445][emoji445]kiboro kimedinda mashavu yametuna haya wee haya wee [emoji445]nipe kidogo nichangamshe damu haya wee haya wee [emoji445]
Chiku weiweiwei mama weeee,
Mama ndakuchema wee,,
Chiku weiweiwei mama wee
Mama ndakuchema wee
Ndakuchema iga ochi
Gonga dirishani mama
Utanikuta nimelala, mwajuma mwajuma
Anaima, anainuka, anaona bado imo,
 
Ushawahifika bara weyeee!? aaaa hapana,na lini utakwenda bara weyee!?ntakwenda yakhee ntakwenda, wamama wabara huinyonya yote hii ikabakia koookwa tu, hiiii hiiii....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwanajeshi uliyewekwa sero mpaka vyakula vikaoza kwenye buti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Looh...!!!πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… imebidi nikusome uliingia JF lini😜😜

Kumbe kile kisa nilichowekwa mahabusu na vitu kuoza kwenye gari ulikuwepo....πŸ™ŒπŸ½πŸ™ŒπŸ½πŸ˜„πŸ˜„πŸ₯‚.
 
Si uliutaka mwenyewe mchezo wa bolingoooo...... tuliza boli mwanangu mpira umejaaa

Si uliutaka mwenyewe kwenye mikokoa...... tuliza boli mwanangu mpira umejaaa

Aleee mama kisamvu kilee..... umekiona kisamvu kilee...
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Jamani toto..
Toto toto tumeliona
Guu guu,tako tako
Domo domo la kula denda.
[emoji445]

Hizi chenja zinanipaga mori sana nikiwa kwenye kazi yangu ya kubeba zege.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…