Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

Ukitaka nyimbo za heshima nenda kanisani kaimbe kwaya
 
unachangia kama umekatwa kichwa
Hiyo chenja inaimbwa..

Siku ya kwanza alisemajeee[emoji445] mamaa naumia[emoji445]
Siku ya pili akasemajee[emoji445] linii tutarudiaa[emoji445]
Siku ya tatuu akasemajee[emoji445] mdogo mdogo inaingiaa[emoji445]
Siku ya nne akasemajee [emoji445] linii tutarudiaa[emoji445]
Naskia Raha utamuu[emoji445] jamani Raha utamuu[emoji445]

Sasa hapo tusi liko wapi? Hiyo wanaimba kutokana ni hali ya mazoezi ukiwa kozi ni lazma siku ya kwanza uumie lakin siku zinavyoenda unafurahia japo Kuna maumivu utayapata lakin kwako itakua kama sehem ya raha tu maana umeshafungua moyo hivyo hakuna tusi labda tafrisi yako binafsi
 
Dah sitaki kukumbuka ila kuna moja hapo juu nmejikuta naiimba mpak mwisho
 
masela tukapime ngoma aee ae,
naona wote mmekonda aee ae
mwazidi kutia huruma aee ae aee ae
na yote sababu ya kozi aee ae,,,,,,masela segee,,segedamse, jamani segee wee segedamse,,,,,,,,
Hii chenja unaweza toka mabio Dar mpaka Kigoma halafu fresh tu [emoji3577]
 
Upumbavu tu tena usikute ni bongo pekee tuna huu ushenzi. Halafu acha jeshini nenda kwa watu wa kufanya kazi za kutegemea sana nguvu za mwili utakuta nao ndio tabia yao wakiwa saiti nataja mifano hapa

TANESCO (wale wa nguzo)
WAASHI
PLUMBERS (wale wa mitaani)
MACHIMBO
nk
 
Wapemba nao hawapo nyuma kwenye majahazi huko, upepo ukikata ghafla baharini na kuwalazimu kupiga makasia..
Sikiliza hii...Seif weee tukamsake ngogo maji kujaaa,twende pwaniii tukamsake ngogo maji kujaaa,
Kibwagizo:wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?...wanambia nina kaboro kadogo hiyo mimba kamtia naniii!?
 
[emoji445]Nauza mchicha, majani ya kunde, maboga leo...×2
We nauza mchi, majani ya KU, MAboga leo[emoji445]
Kwenye kozi bila chenja unaeza achia nyoya, Jeshi morali
Haka ka nyimbo nimekakumbuka kakawa kananichenga kidogo ,ahsante mkuu
 
Back
Top Bottom