Mkuu kazi ya jeshi si kazi ya siasa!
Kada ya jeshi ina historia yake na kuna mambo makuu matatu yanayowapa hamasa ili kupunguza makali ya utendaji wao wa kazi mgumu na za hatari, mambo hayo ni: vita, pombe na wanawake(3w's)!
Pombe na wanawake jeshini ni ration na ukiwa "mtoto si ridhiki" jeshi hauingii, ni unfit.
Na vita vinapendwa sana na wanajeshi kuliko tunavyodhania na ndiyo maongezi yao ya furaha hayo.
Vita vikitangazwa leo, utakuta hata waliostaafu wanerejea bila shurti, kiroho safi kwa furaha tele!
Nongwa na matusi yanayoongelewa jeshini, kwa mitaani ni makosa makubwa ya jinai, uzuri ni kwamba wanafundishwa elimu ya uraia, hivyo wanaelewa ni nini cha kuongea makambini na kukiacha humo humo.
Ushawahi kuona wanajeshi wanatukana watu ovyo mitaani?
Basi kumbe wana maadili yao, ambayo sisi raia hatuyawezi kwa sababu si maadili yetu.
Sent using
Jamii Forums mobile app