Nini Sababu ya Kuitwa Mwanaume Suruali,Gogo....

Nini Sababu ya Kuitwa Mwanaume Suruali,Gogo....

Juzi nimesikia term mpya kabisa eti "marioo" maana yake me anatunzwa na ke!

siyo mpya mkuu, marioo ni mwanaume handsome kwa kicongo, of course wanawake wanakuwa wanampapatikia
 
Back
Top Bottom