Gulio Tanzania
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,325
- 7,807
Wenzako wanapewa keki ya upako, maji ya upako, mafuta ya upako ili hivo vitu vikamalize matatizo yao, ushindwe kutatua mambo yako utegemee maji ya kilimanjaro halafu unajiona unaakiliKwasababu tunaomuamini Mungu yupo, tumeshindwa kudhibitisha..!
Umepiga mule mule Mkuu na Mtani wangu. Heko.Bila shaka wewe ni muumini wa nabii masanja, au kuhani mussa au mtume mwamposa, hua mnajiita mmeokaka si ndio mkuu?
Hawa watu mtani wameleta utapeli wa dini mchana kweupe sijui tunavowasanua hawaelewiUmepiga mule mule Mkuu na Mtani wangu. Heko.
Katika nchi nyingi sana za Magharibi ambako Ukristo ulipoanzia, hamasa ya kushika dini imeshuka Sana miongoni mwa watu, sehemu zingine Hadi makanisa yamegeuzwa kuwa kumbi za starehe. Sababu kubwa ikiwa ni maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia. Sababu wanazotoa ni Kwamba:-Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
Ukijua Elimu zao au Hali zao za Kiuchumi ndiyo utagundua nini labda? Hatuwataki akina Kiboko ya Wachawi, Mwamposa, Mwacha, Kapola, Mwakibinga na Wapumbavu wengine kadhaa ambao kwa Hasira na Uchungu wanaowafanyia Watanzania nimeshau hadi na Majina yao.Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
Ukijua elimu zao au hali zao za uchumi ndio utakua umepata jibu la swali lako?Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
Sasa wataelewa na kutuelewa. Yaani GENTAMYCINE nishikilie Bango Jambo na Nisagie Kunguni halafu lisije Kufanikiwa?Hawa watu mtani wameleta utapeli wa dini mchana kweupe sijui tunavowasanua hawaelewi
Achana na hao kina mwamposa nawengine kwamba kila mtu ni mfuasi wa manabii wa uongo?Bila shaka wewe ni muumini wa nabii masanja, au kuhani mussa au mtume mwamposa, hua mnajiita mmeokaka si ndio mkuu?
Tuna Degree ila tumebarikiwa Fikra pana kuliko hao Unaowaabudu na kuhusu Fedha tunashukuru hatujawahi Kulala Njaa.Nataka nijue elimu zenu nyie atheist mbona sisi tunao maaskofu wenye degree na PhD nyingi lakini bado wanafanya kazi ya Mungu
Mtani wangu Arovera malizana nae Kibingwa tafadhali kwani naona kuna anachokitafuta kwa Watu tusiopenda Upuuzi.Achana na hao kina mwamposa nawengine kwamba kila mtu ni mfuasi wa manabii wa uongo?
Nataka nijue elimu zenu nyie atheist mbona sisi tunao maaskofu wenye degree na PhD nyingi lakini bado wanafanya kazi ya Mungu
Uwezi ukapinga kitu ambacho hakipo! Sasa unapinga nini? Hakijawahi kuwepo maana yake na kwenye fikra/akili hakipo! Kwahiyo ukisema "hakuna Mungu" maana yake "Mungu yupo". Ni bangi tu zinawasumbua!Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
Ni kweli kabisa atheism imeongezeka kwa kasi kubwa sana kulinganisha miaka 10 iliyopita. Sababu ni watu kupata access ya internet na kujifunza mambo mengi humo. Pia ni sababu ya watumishi wa Mungu kufanya dini kuonekana kama biashara za watu.Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist