Yuda Legacy
JF-Expert Member
- Jun 21, 2023
- 778
- 2,764
MUNGU NI MMOJA TU ANAE TENDA KAZI KWA MWANAE YESU KRISTO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabiiiiiiiiiisa lo
Endelea kumsaigia kunguni Mwamposa kama utafanikiwa.Sasa wataelewa na kutuelewa. Yaani GENTAMYCINE nishikilie Bango Jambo na Nisagie Kunguni halafu lisije Kufanikiwa?
Hawa jamaa huwa wanajikuta wao ndio wanaakili sana na kujiona wao wamesoma kupita Hawa viongozi wetu wa diniNi kweli kabisa atheism imeongezeka kwa kasi kubwa sana kulinganisha miaka 10 iliyopita. Sababu ni watu kupata access ya internet na kujifunza mambo mengi humo. Pia ni sababu ya watumishi wa Mungu kufanya dini kuonekana kama biashara za watu.
Inawezekana nimeona Kuna msukumo huo kwa watu hao inawezekana Wana ajenda yaoLGBTQ wengi sana huwa ni Atheist
Exactly what I tried to say, umeiweka vizuri sanaKatika nchi nyingi sana za Magharibi ambako Ukristo ulipoanzia, hamasa ya kushika dini imeshuka Sana miongoni mwa watu, sehemu zingine Hadi makanisa yamegeuzwa kuwa kumbi za starehe. Sababu kubwa ikiwa ni maendeleo makubwa katika sayansi na teknolojia. Sababu wanazotoa ni Kwamba:-
1. Existence of God cannot be proved scientifically.
2. They have each and every thing in their lives, so they should go to Church to pray for what??
3. Science and technology can solve all their problems.
Hao ni wakuonewa huruma kweli kweliMiaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
WENGI wa ATHEIST ni MASHOGA!!!! wanashangaa wanapelekewa MOTO lakini MUNGU hawaangamizi kama alivoangamiza SODOMA na GOMORA!!!......so wanaona kama vile ile story sio ya kweliMiaka ya hivi karibuni kuanzia 2018 hapa jukwaani Kumekuwa na ongezeko kubwa la watu ambao hawaamini uwepo wa Mungu (atheist) hii inaashiria Nini ?
Hii hali nimeona ni tofauti na jamiiforum Ile ya 2016 kurudi nyuma
Napenda kujua elimu zao au hali zao za uchumi hawa atheist
Nimesoma post yako nakushauri anza kwenda kanisani Kuna mengi bado hauyajuiNilipoteza mvuto wa kuhudhuria ibada mwaka 2006 baada ya kumaliza form four na kuondoka kwa guardian wangu ambaye usipoenda kanisani ilikuwa ni ugomvi nyumbani, yani unalazimishwa kwenda ibadani bila kupenda.
Sasa baada ya kufaulu form IV na kwenda boarding school mambo mengi yakaanza kubadirika, I was more happy kujipangia what to believe hali hiyo imeendelea hadi namaliza advanced level na kwenda chuo kikuu, marriage life imekuwa kama utotoni tena mwanamke analazimisha niende kanisani 😂😂😂
This is invasion of self belief! Naamini sihitaji kwenda kanisani ili kuwa mtu mwema au kuamini kwamba Mungu yupo. Nikikaa bar wanapita ombaomba ukiwapa Hao pesa ndogo ndogo ni sadaka, challenge za kuchangia wahitaji mbalimbali kama za yule Malisa ni sadaka pia, as I've bulked up age I've come to my senses that dini ni kama any other economic franchise which diversify people's economy, people get paid to provide spiritual services! So far sio kitu kibaya
Kama umesoma vizuri ungenishauri nirudi kanisani sio nianze maana nishakwenda na ndoa nimefunga kanisani mkuu. Until makanisa yetu yakirudi katika misingi iliyokuwepo zamani there's no turning back for me.Nimesoma post yako nakushauri anza kwenda kanisani Kuna mengi bado hauyajui