Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmh kuna nerve huko zinaitwa pudental nerves zikiguswa ndio hio habari unayo sema inatokea sasa duu
mmh kuna nerve huko zinaitwa pudental nerves zikiguswa ndio hio habari unayo sema inatokea sasa duu
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.
Msaada wa kitaalam.
Kuna jamaa humu aliwahi kuomba msaada wa dawa inayoweza kumtibu tatizo linalofanana na lako, baada ya kwenda hospitali daktari alimwambia kuwa hilo tatizo linakula ini lake pole pole na dawa hakuna, ndio jamaa akaamua kulileta hapa aone kama kuna msaada, hivyo nenda hospitali matatizo yanatofautiana ila yanaweza kufanana dalili.
Mimi siyo Dr. Ila nimepata kuwasikia madaktari bingwa wakisema hilo siyo tatizo hasa kama hujafanya mapenzi siku nyingi. So take easy.Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.
Msaada wa kitaalam.
Mkuu, Hali kama hiyo inaashiria kuwa "hazina (mfuko) la mbegu limejaa na kupindukia kumwagika" unapojikamua viungo vya kwenda haja... ni kawaida hutoka bila kukupa hisia za tendo!!!Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.
Msaada wa kitaalam.
Jamani mbona tunatishana hivi!!!!!!
Mimi siyo Dr. Ila nimepata kuwasikia madaktari bingwa wakisema hilo siyo tatizo hasa kama hujafanya mapenzi siku nyingi. So take easy.