Nini sababu ya kutoka shahawa wakati wa kujisaidia?

I will write this in the most layman way I know how:

It seems unapata prostatic massage as your own fecal matter passes through the rectum au as you strain. Sasa, it's either prostate yako imeongezeka size kidogo ama fecal matter imekuwa kubwa. Ila sidhani kama una ishu kubwa, nenda hosp kwa utabibu zaidi. Nimewahi kujibu scenario kama hii humu, tafadhali tafuta uzi huo. Kama hukuelewa feel free kuni - pm
 
Back
Top Bottom