Nini sababu ya kutoka shahawa wakati wa kujisaidia?

Bangoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
5,597
Reaction score
1,013
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.

Msaada wa kitaalam.
 
mmh kuna nerve huko zinaitwa pudental nerves zikiguswa ndio hio habari unayo sema inatokea sasa duu
 
mmh kuna nerve huko zinaitwa pudental nerves zikiguswa ndio hio habari unayo sema inatokea sasa duu

embu elezea kwa usahihi mbona unaeleza kama ni kitu cha hatari sana
 
ngoja na mimi nisikilize... mseme kama kuna kinga aisee
 
mmh kuna nerve huko zinaitwa pudental nerves zikiguswa ndio hio habari unayo sema inatokea sasa duu

Ninahisi ni kwanini umeguna, ila muhimu umpe mwezio ushauri wa kina kama unao. Hayo mengine ni maamuzi ya mtu mwenyewe.
 
pole joh huwa mnapata hisia za tendo la ndoa ama??
 
Same time mara moja kwa siku....! Hasa jioni
 
Ana familia, sema familia yake haipo karibu na inatokea tu mara moja moja....
 
Hata mimi sometimes hunitokea,haswa ninapojikamuuuuuuuua,kutoa haja
 
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.

Msaada wa kitaalam.

Kuna jamaa humu aliwahi kuomba msaada wa dawa inayoweza kumtibu tatizo linalofanana na lako, baada ya kwenda hospitali daktari alimwambia kuwa hilo tatizo linakula ini lake pole pole na dawa hakuna, ndio jamaa akaamua kulileta hapa aone kama kuna msaada, hivyo nenda hospitali matatizo yanatofautiana ila yanaweza kufanana dalili.
 
Jamani mbona tunatishana hivi!!!!!!
 
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.

Msaada wa kitaalam.
Mimi siyo Dr. Ila nimepata kuwasikia madaktari bingwa wakisema hilo siyo tatizo hasa kama hujafanya mapenzi siku nyingi. So take easy.
 
Sababu kubwa huwa ni uambukizi kwenye tezi dume (Prostate).
Nimeshawaona wagonjwa wa aina hiyo na kuwatibu. Cha muhimu kufika hospitali na kuonana na daktari afanye kipimo. Hicho unachodhani ni shahawa inaweza kuwa sio. Utapewa chupa hospitalini ambayo utaombwa kupeleka hicho kinachotoka kipimwe. Then waweza pata matibabu stahiki.
 
Naomba kujua nini kinasababisha mtu anapojisaidia haja kubwa, shahawa kutoka kwenye uume (mwanaume) ni tatizo lililotokea kwa muda sasa.

Msaada wa kitaalam.
Mkuu, Hali kama hiyo inaashiria kuwa "hazina (mfuko) la mbegu limejaa na kupindukia kumwagika" unapojikamua viungo vya kwenda haja... ni kawaida hutoka bila kukupa hisia za tendo!!!
 
Jamani mbona tunatishana hivi!!!!!!

Kuna jamaa alikuwa na tatizo kama hili na aliwahi kuleta uzi vilevile akaelezea jinsi alivyoambiwa na daktari.

Unajua sio kwamba unatishwa bali vipimo na maneno mengi ya hawa madaktari wa bongo unakuta sio kweli, ndio maana nikamwambia aende hospitali, ni kama unapopima HIV wanakushauri uende kupima sehemu tatu nyingine wakati ulishapima tayari, hakuna ugonjwa usio na tiba mkuu na hakuna sababu ya kuogopa.
 
Mimi siyo Dr. Ila nimepata kuwasikia madaktari bingwa wakisema hilo siyo tatizo hasa kama hujafanya mapenzi siku nyingi. So take easy.

Nadhani mkuu Bangoo atakuwa na tatizo hilo ila kama ana wasiwasi aende akapimwe tu hospitali ila mimi sioni tatizo maana kama unapiga nyeto halafu ukaenda kukojoa lazima shahawa zitatoka tu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…