Tunaitaga pumbu erosionUgonjwa huu maarufu sana shule za boarding
Anaogopa nini? kwani yeye/wewe ni timu kibamia?Nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniuliza ni nini sababu ya kupata ukurutu kwenye mfuko wa korodani halafu zinamuwasha pindi zinapopata joto na anasema kipinidi anapooga na akizikausha kwa taulo pia zinamuuma. Kwa ushauri wangu nimemwambia aende kituo cha afya ananiambia anaogopa kuonesha sehemu zake za siri kwa tabibu wetu wa kijiji. Nawasilisha.
Ugonjwa unao kusumbuaga hahahaPole mkuu hiyo ni fangasi umepata nenda hospital.
Ugonjwa unao kusumbuaga hahaha
Nilikuwa nakuingiziakoradani zangu uliziona wakati nakufanya nini??
Ni fangasi aina ya candida albicans, huo ukurutu ni mazaliana yake pamoja na ngozi ya juu iliyokufa.Nina rafiki yangu wa karibu amekuja kuniuliza ni nini sababu ya kupata ukurutu kwenye mfuko wa korodani halafu zinamuwasha pindi zinapopata joto na anasema kipinidi anapooga na akizikausha kwa taulo pia zinamuuma. Kwa ushauri wangu nimemwambia aende kituo cha afya ananiambia anaogopa kuonesha sehemu zake za siri kwa tabibu wetu wa kijiji. Nawasilisha.
Nilikuwa nakuingizia