binjo
JF-Expert Member
- Feb 22, 2016
- 2,115
- 1,247
Mkuu pole ila huo sio ugonjwa ni mlundikano wa uchafu wa mda mrefu.
Wakati wakuoga uchafu kuanzia kichwani kwenda chini hutoka mwingine hubakia katika KORODANI na kuganda ndani ya maficho nikiwa na maana unapooga korodani huwa zina tabia ya kusinya na kujenga mikunyanzi flani ambayo maji ya sabuni na majasho mengine hugandia huko hii hutokea hasa kwa wale wasiopenda kujisuuza vizuri korodani baada ya kumaliza kuoga mwili mzima.
Baadaye hujenga michubuko ndani ya mikunyanzi ya korodani hii hupelekea ukioga kwa kutumia sabuni yenye kemikali kali unaweza lia kwani korodan huwaka moto(kimaumivu)
Mshauri awe anasuuza vizuri hizo korodani pindi akimaliza kuoga mwili.
NAONGEZEA NJE YA MADA:Vipele makalio ni uchafu pia.
Kwa wanawake na wanaume weusi uliokithiri dhidi ya rangi yako ya mwili ni uchafu pia.
SIKU NJEMA WAKUU