Nini sababu ya kutoka ukurutu juu ya mfuko wa korodani?

Nini sababu ya kutoka ukurutu juu ya mfuko wa korodani?

Mkuu pole ila huo sio ugonjwa ni mlundikano wa uchafu wa mda mrefu.


Wakati wakuoga uchafu kuanzia kichwani kwenda chini hutoka mwingine hubakia katika KORODANI na kuganda ndani ya maficho nikiwa na maana unapooga korodani huwa zina tabia ya kusinya na kujenga mikunyanzi flani ambayo maji ya sabuni na majasho mengine hugandia huko hii hutokea hasa kwa wale wasiopenda kujisuuza vizuri korodani baada ya kumaliza kuoga mwili mzima.


Baadaye hujenga michubuko ndani ya mikunyanzi ya korodani hii hupelekea ukioga kwa kutumia sabuni yenye kemikali kali unaweza lia kwani korodan huwaka moto(kimaumivu)



Mshauri awe anasuuza vizuri hizo korodani pindi akimaliza kuoga mwili.


NAONGEZEA NJE YA MADA:Vipele makalio ni uchafu pia.



Kwa wanawake na wanaume weusi uliokithiri dhidi ya rangi yako ya mwili ni uchafu pia.


SIKU NJEMA WAKUU
 
Kitu kama hicho pia husababishwa na kuogelea ziwani au baharini
 
Mkuu miss chagga umeongea kwa confidence utafikili na wewe una miliki mfuko wa pu.mbu
kumbe wewe ni jinsi ya KE....hongera kwa kuwapa mwanga wenye pu.mbu zao.

fungus nkuu hana hata haja ya kumuonyesha dokta watamwandikia dawa tu .. halafu mwambie asigongane kwa sasa hivi atamuambukiza demu wake.. na kama anagongana amnunulie na demu wake dawa za kumeza
 
Yeast aina ya candida kama sikosei,huwa ngumu sana kupona,na zina tabia ya kurelapse.

Tumia broadspectrum tube
au tafuta ile ya kijani inaita elyvate,duka lolote la dawa huzikosi,anza na hiyo kwanza kabla hujaonnyesha makende yako kwa mganga wa kijiji
 
Back
Top Bottom