Nini sababu ya mtoto kupunguza kucheza katika kipindi cha ujauzito?

Ndimbojr14

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
13
Reaction score
6
Naombeni ufafanuzi wa kina ndugu, maana ni siku ya 3 leo shemeji/ wifi yenu analalamika kasi ya mtoto kucheza tumboni imepungua.
 
Ni vyema muwahi kwenda hospital mapema sio dalili nzuri hasa kama hasikii mtoto akicheza kama ilivyokuwa awali kuna dada aliwahi hisi hivyo lakini yeye mtoto aliacha kucheza kabisa tumboni na kila akilala upande tumbo linakuwa kama linaegemea upande huo aliolalia kumbe kiumbe kimepoteza uhai so ni vyema kwenda hopital mapema ndugu
 
Ni kama walivyosema hao nenda hospitali, inaweza kuwa hana tatizo au analala sana au kageuka hausikii mzunguko wa labda miguu au mikono au viungo vingine kama miguu, mikono, kichwa.

Ila kujua yupo salama nenda ufanyiwe ultrasound haraka kuwaza hakufai ukiwa na mimba pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…