Ndimbojr14
Member
- Jan 31, 2012
- 13
- 6
Naombeni ufafanuzi wa kina ndugu, maana ni siku ya 3 leo shemeji/ wifi yenu analalamika kasi ya mtoto kucheza tumboni imepungua.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naombeni ufafanuzi wa kina ndugu, maana ni siku ya 3 leo shemeji/ wifi yenu analalamika kasi ya mtoto kucheza tumboni imepungua.
yah Mungu ni mwema nw mtoto ni mkubwa..tatizo lilikuwa ni mama kupunguza kasi ya kula.Vipi mlienda hospitali? Wamewaambiaje?