Nini sababu ya mtu kupata stroke?

Nini sababu ya mtu kupata stroke?

Sababu za kupata Stroke zipo nyingi ila kwangu mimi ni kukuta mtu anamshughulikia mke wangu, hapo lazima nipate stroke
 
Mkuu hiyo ni moja ya sababu kuu za mwanaume kupata stroke usifanye mchezo
Ha ha ha.....
Kwa ninavyokutafsiri according to comment zako ....ni tofauti na ulichokisema hapa!
Kuna ukweli flani .....kuwa....(......) haina mwanamme!
 
Kuna ischimie stroke hutokea mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye ubongo kuziba. Hii husababishwa na mabonge ya damu au high in cholesterol

Hemorrage stroke hutokea mishipa ya damu ikipasuka kutokana na high blood pressure.

Vyote husababisha ubongo kukosa oxygen
 
Pamoja na sababu zingine ila don't forget kuwa na njia za kishirikina zinahusishwa
 
Kuna ischimie stroke hutokea mishipa ya damu inayopeleka damu kwenye ubongo kuziba. Hii husababishwa na mabonge ya damu au high in cholesterol

Hemorrage stroke hutokea mishipa ya damu ikipasuka kutokana na high blood pressure.

Vyote husababisha ubongo kukosa oxygen
Kuna dawa zake hizo aina za stroke?
 
Kuna dawa zake hizo aina za stroke?
Kuna dawa za kuprevent stroke ambazo ni blood thinning medicines na za kupunguza cholesterol level kwenye damu.

Dawa za ku control blood pressure kwa wenzetu high patension
 
Kula sana vitunguu thaumu ndo vinafanya damu isiwe na mabonge,
hayo mabonge ndo huziba mirija ya damu hasa kichwani na kufanya ubongo ukose oxgen na hivyo mtu kupata stroke,
ama mabonge husababisha mirija ya damu kupasuka juu ya pressure ya damu iliyozibwa na bonge ,so mirija ikipasuka damu huvujia katika ubongo na hivyo kusababisha stroke
 
Back
Top Bottom