BABU KIZEE
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 452
- 72
Kichwa kinajieleza chenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.@BABU KIZEE Kabla ya kukujibu swali lako ningepend ana mimi kukuliza Maswali yangu haya hapa Je ulishawahi kupiga punyeto? Je hiyo ya kumwaga kabla ya tendo la ndoa inakutokea unapoanza au mara ya pili unapofanya hilo tendo la ndoa?Kichwa kinajieleza chenyewe.
Vipi Mkuu Mayombo hujambo habari za wapi ulipo?MziziMkavu njoo, ndoa inavunjika uku,
Mkuu.@BABU KIZEE Kabla ya kukujibu swali lako ningepend ana mimi kukuliza Maswali yangu haya hapa Je ulishawahi kupiga punyeto? Je hiyo ya kumwaga kabla ya tendo la ndoa inakutokea unapoanza au mara ya pili unapofanya hilo tendo la ndoa?
Vipi Mkuu Mayombo hujambo habari za wapi ulipo?
Mkuu BABU KIZEE Punyeto pia inachangia matatizo yako hayo. Nenda kwa Daktari wa saikolojia kamuonehii inatokea kabla ya tendo la kwanza kuhusu punyeto nimeacha muda mrefu sana.