Nini sababu ya mwanaume kumwaga kabla ya tendo

Nini sababu ya mwanaume kumwaga kabla ya tendo

Wengi huwa na mfadhaiko!!na papara ya tendo!kwa kuvuta hisia na imagination zisizo zakawaida!!


Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: awp
Last edited by a moderator:
Mkuu.@BABU KIZEE Kabla ya kukujibu swali lako ningepend ana mimi kukuliza Maswali yangu haya hapa Je ulishawahi kupiga punyeto? Je hiyo ya kumwaga kabla ya tendo la ndoa inakutokea unapoanza au mara ya pili unapofanya hilo tendo la ndoa?

Vipi Mkuu Mayombo hujambo habari za wapi ulipo?

hii inatokea kabla ya tendo la kwanza kuhusu punyeto nimeacha muda mrefu sana.
 
Last edited by a moderator:
hii inatokea kabla ya tendo la kwanza kuhusu punyeto nimeacha muda mrefu sana.
Mkuu BABU KIZEE Punyeto pia inachangia matatizo yako hayo. Nenda kwa Daktari wa saikolojia kamuone

umueleze hayo matatizo yako kisha uje hapa utupe feedback . Ikishindikana nitajuwa dawa ya kuweza kukupa pia ukiwa

kwenye tendo la ndoa acha kufikiria sana hilo tendo la ndoa pia inachangia wewe kukojoa kabla ya kufanya itabidi

ujiandae na tendo la ndoa sio tu ukimuona shemeji yangu unataka kumparamia kama jogoo anavyo mparamia kuku

usifanye hivyo. Kabla ya nusu saa ya tendo la ndoa kula chokoleti au kunywa kahawa au kunywa unga wa tangawizi

kavu kijiko kimoja changanya na Asali safi kijiko kimoja kunywa nusu saa kabla ya tendo la ndoa kisha njoo hapa unipe

feedback.
 
Last edited by a moderator:
Pole sana
Wataalamu wapo humu watakushauri cha kufanya.
 
Ebwana Kamaulikua Unapendelea kupiga pucheto basiwazi dhairi ndiyo inakutokea ukiwa upo kwenye ndoa!!!
 
ZIJUE ATHARI ZA KUPIGA PUNYETO:

ATHARI za PUNYETO

Wanaume waliowengi hukidhi haja zao kwa kutuliza matamanio yao kwa njia ya kujichua/ kupiga punyeto bila kufahamu madhara yake: Nikweli punyeto inasaidia kupunguza hamu ya tendo na ni njia nzuri ya kujiepusha na zinaa kwa kujilinda na maradhi ila kiukweli ina madhara na madhara yake mara nyingi hutokea kwa mtu anaependelea sana kupiga punyeto, kutokana na utafiti uliofanywa kisayansi imeonekana punyeto ni nzuri kiafya ila endapo kama utakuwa unapiga mara moja moja na sio kila siku. Napenda kuwashauri watu wanaopiga punyeto wawe makini na wasiendekeze jambo hili kwani madhara yake ni makubwa sana na Athari zake kubwa ni hizi zifuatazo:


1. PUNYETO INAUA NGUVU ZA KIUME:

Upigaji wa punyeto unaweza kusababisha upungufu wa nguvu za kiume, kwani kipindi unapiga punyeto jua ile mishipa inayofanya uume usimame unakuwa unaichua na uume unakuwa umesimama kwa muda mrefu sasa ikitokea ukawa unafanya hivi kila siku ile mishipa inaregea na uume unakuwa unakosa nguvu hata ukisimama haui strong unakuwa kama umeregea.


2. KUWAHI KUMALIZA MAPEMA KATIKA TENDO:

Mara nyingi mtu aliezoea kupiga punyeto huwahi kumaliza mapema pindi akiwa anafanya mapenzi na mpenzi wake na wakati mwingine uume hushindwa kusimama kwa mara ya pili na kujikuta anashindwa kurudia tendo ikiwa mpenzi wake bado hajaridhika na anahitaji kuendelea kusex.

Ukitaka Dawa za kurudisha Nguvu zako za kiume wasiliana na mimi kwa njia ya Barua ya Pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com au pia waweza tembelea hapa
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
 
Back
Top Bottom