Kijana wa Kizimkazi 2030
JF-Expert Member
- Apr 25, 2026
- 4,842
- 10,164
Kwa kuwa kuna vyoo na mabafu condoms ni muhimu ziwepo ili kuepusha kuambukizana magonjwa na mimba zisizohitajika.Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake zetu. Nini kifanyike mimi na wewe hatujui.
View attachment 3629109
Mleta mada anajitoa ufahamuWanaweka sio kwa ajili ya watumishi, bali na wewe mteja unaekwenda kupata huduma hapo. Fikiria ni watu wangapi wanakwenda halmashauri kupata huduma kwa siku?
Mlengwa mkubwa wewe mteja/mwanajamii.
Nje ya mada; usione soo mkuu kuchukia zana, kama una mipango ya kuchakata mbususu. Ni bure
Kwanini wakulane maofisiniMpaka mnakulana, bc mnajitambua na mnajua n nn mnafanya hapo
Unasema mashine moja inabeba Condom 100 then kila wiki inawekewa tena ?Availability & acessibilitiy ya Condom bado ni tatizo, ndio maana wadau (TACAIDS) na partners wengine wanaweka hizo Condom dispenser kwenye maeneo yote public, kupunguza adha hiyo.
Usishangae hilo, shangaa refill kufanyika kila wiki, mind you dispenser moja inaweza kubeba condom 100 na zaidi halafu refill ifanyike kila wiki 😅
Ni watu wazima na Wameamua hvyKwanini wakulane maofisini
Hapana cha utu uzima ni ufusika tuNi watu wazima na Wameamua hvy
Nimeikuta sehemuOfisi gani zina haya makitu
Ndiyo brooUlienda kufata chet cha kuzaliwa
Nambie big brotherBwashee