Hii ni hatari, kinacho nishangaza ni kwamba huwa zinaishaga😳 na zinaletwa immediately.Nambie big brother
Shule unaenda lini au unasubiri second selectionNdiyo broo
Ukimwi umetapakaa sana ,ni bora wanavyofanya hivyo.Wadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake zetu. Nini kifanyike mimi na wewe hatujui.
View attachment 3629109
Gudubai mahi wangu.Unasema mashine moja inabeba Condom 100 then kila wiki inawekewa tena ?
Gudubaiiiiiiiii
Au watu wanachukua wanaenda kuuza 😆Gudubai mahi wangu.
Nikishika PC nitacomfirm inawekwa Condom ngapi, yawezekana zaidi ya hiyo sikumbuki
Kazi iendelee 😂
Ili wafanyakazi wakielewana wanyanduaneWadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake zetu. Nini kifanyike mimi na wewe hatujui.
View attachment 3629109
Watakuwa wahaini 😂Au watu wanachukua wanaenda kuuza 😆
Watakuwa wahaini 😂
Hizi haziruhusiwi kuuzwa.
Lakini kumbuka watu wengi wanaoenda "short time" hasa muda wa mchana ni wafanyakazi wa maofisini ambao ni waume/wake za watu. Mi naona ni sawa tuu kuwawekea huko ofisini ili wakitoka kwenda lunch wanaunganisha lodge wanapiga kimoja cha chapchap then wanarudi zao ofisini kujenga taifa.Hizo kitu ni vizuri zikawekwa kwenye lodge, guest na bar zenye vyumba vya short time. Kuweka maofisini siyo poa hata kidogo.
miongozo ya serikaliWadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake zetu. Nini kifanyike mimi na wewe hatujui.
View attachment 3629109
Utawapa watu preshaHao wake zenu kwani ni watoto wadogo?
Ili kulinda kizazi kizinifuWadau wa JF sina shida na nyie nina shida na hizi ofisi za umma kuweka condom dispensers kwenye korido. Hii imekaa sawa kweli wadau?
Mimi naona haijakaa poa sana sana ni kuhalalisha ufusika maofsini tu. Kwa mtindo huu tutegemee kuongezeka kwa matukio ya rushwa ya ngono pia na kuchapiwa wake zetu. Nini kifanyike mimi na wewe hatujui.
View attachment 3629109
Kuna watu huwa wanaona shida kununua kondomu dukani, lakini wako tayari kuzitumia. Hao ndio wanaolengwa katika kampeni ya kudhibiti magonjwa. Lengo sio kuwashiwishi watumishi wa-sex kazini. Serikali inajua kugongana kupo tu, ila watu wakagongane kwa usalama. Wasije wakaathirika kwa magonjwa na kuleta hasara kwa taifa.Hizo kitu ni vizuri zikawekwa kwenye lodge, guest na bar zenye vyumba vya short time. Kuweka maofisini siyo poa hata kidogo.