Nini sababu ya ofisi za umma kuweka kondomu kwenye korido?

Ukimwi umetapakaa sana ,ni bora wanavyofanya hivyo.
 
Ili wafanyakazi wakielewana wanyanduane
 
Hizo kitu ni vizuri zikawekwa kwenye lodge, guest na bar zenye vyumba vya short time. Kuweka maofisini siyo poa hata kidogo.
Lakini kumbuka watu wengi wanaoenda "short time" hasa muda wa mchana ni wafanyakazi wa maofisini ambao ni waume/wake za watu. Mi naona ni sawa tuu kuwawekea huko ofisini ili wakitoka kwenda lunch wanaunganisha lodge wanapiga kimoja cha chapchap then wanarudi zao ofisini kujenga taifa.
 
miongozo ya serikali
 
So watumishi wa umma wanaruhusiwa kutombaniana ofisini kumbe?
 
Ili kulinda kizazi kizinifu
 
Hizo kitu ni vizuri zikawekwa kwenye lodge, guest na bar zenye vyumba vya short time. Kuweka maofisini siyo poa hata kidogo.
Kuna watu huwa wanaona shida kununua kondomu dukani, lakini wako tayari kuzitumia. Hao ndio wanaolengwa katika kampeni ya kudhibiti magonjwa. Lengo sio kuwashiwishi watumishi wa-sex kazini. Serikali inajua kugongana kupo tu, ila watu wakagongane kwa usalama. Wasije wakaathirika kwa magonjwa na kuleta hasara kwa taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…