Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali
Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana
Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna tatizo ni kawaida (means ameshindwa kujua tatizo)
Sisi wengine tuna tabia ya kutopenda mwanga basi naona taabu sana usiku hata usingizi wa maana sipati
Nilikuwa na utaratibu wa kunyofoa taa zote ndani muda wa kulala lakini nao una usumbufu kiaina
Nimekuja kugundua karibu mtaa mzima tuna hilo tatizo (fundi wiring ni huyohuyo) tofauti kwa wenzangu ni taa moja au mbili ila ngoma kwangu ni taa zote!
Shida kubwa ni hiyo ya mwanga nikiwa nimelala lakini pia nahofia kuwaka huko kwa mfifio isije ikawa zinaendelea kunywa umeme