Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

Nini sababu ya taa kuendelea kuwaka hata zikizimwa?

Ujaelewa swali. Nimekuuliza io bei inapanda kulingana na QUALITY au QUANTITY ya taa wewe unawekamagari, magari ni bulb kwaakili yako ukinunua MoPassion ya 600 utasema bora kuliko ya 500 bila kujua hapo factor ni Quantity.
Wewe ukienda kununua bidhaa unazingatia nini? Huwezi kuhitaji kitu quality wakati bajeti yako haikuruhusu na siku zote kitu chenye quality bei yake hupanda siku hadi siku unaweza kununua hata bulb ya 15k kulingana na quality unayohitaji mimi nmemshauri mdau kuwa kwa bei ya kawaida kabisa ya 5k ambayo quantity yake inalingana na hyo hyo ya 2k atapata bulb yenye ubora mzuri aachane na hizo za 2k.
 
Hi
Yaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali

Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana

Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna tatizo ni kawaida (means ameshindwa kujua tatizo)

Sisi wengine tuna tabia ya kutopenda mwanga basi naona taabu sana usiku hata usingizi wa maana sipati

Nilikuwa na utaratibu wa kunyofoa taa zote ndani muda wa kulala lakini nao una usumbufu kiaina

Nimekuja kugundua karibu mtaa mzima tuna hilo tatizo (fundi wiring ni huyohuyo) tofauti kwa wenzangu ni taa moja au mbili ila ngoma kwangu ni taa zote!

Shida kubwa ni hiyo ya mwanga nikiwa nimelala lakini pia nahofia kuwaka huko kwa mfifio isije ikawa zinaendelea kunywa umeme
Hizi Taa za LED za kichina zina tabia iyo sijui kwann
 
Although kuna anayesema ni neutral cable ila kuna hizi taa kama bulbs za wkt huu, zinapokaribia kuisha life spam yake pia naona hicho kitu.

Na kuna fundi huwa wanarekebisha huo ugonjwa plus kuiajust iendelee ma maisha.
Upo sahihi,
 
Haaa kwangu ukiwasha PANGA BOI na nataa ukizima haizimiki yote inawaka kwa kufifia ila ukizima PANGABOI na yenyewe ilie kufifia inaondoka hii ya chumbani kwangu ila sebleni(ipo panga boi pia lkn hakuna hiyo kitu ni chumbani kwangu pekee na kwenye kolido ya uwani hakuna hiyo kitu pia
Na nilishawahi sikia mpangaji mwenzangu analalamika hiyo kitu pia ila sijatilia maanani sana mana hata nyumba nilikuwa nimepanga awali lilikuwa hili tatizo lkn nilianza kuliona baada kuanza kutunia hizi bulb nyeupe tofauti na zile za zamani za njano
Hvyo mm naweza sema shida inaweza ikawa hizi bulb za sasa nyeupe mizinguo
 
Back
Top Bottom