Nyoka kibisa
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 568
- 1,507
Wewe ukienda kununua bidhaa unazingatia nini? Huwezi kuhitaji kitu quality wakati bajeti yako haikuruhusu na siku zote kitu chenye quality bei yake hupanda siku hadi siku unaweza kununua hata bulb ya 15k kulingana na quality unayohitaji mimi nmemshauri mdau kuwa kwa bei ya kawaida kabisa ya 5k ambayo quantity yake inalingana na hyo hyo ya 2k atapata bulb yenye ubora mzuri aachane na hizo za 2k.Ujaelewa swali. Nimekuuliza io bei inapanda kulingana na QUALITY au QUANTITY ya taa wewe unawekamagari, magari ni bulb kwaakili yako ukinunua MoPassion ya 600 utasema bora kuliko ya 500 bila kujua hapo factor ni Quantity.
Hizi Taa za LED za kichina zina tabia iyo sijui kwannYaani taa zangu hata nikizima bado zinawaka kwa mbali
Huyo muingiza umeme alipokuwa anaweka umeme alisema fundi amekosea wiring ndio maana
Nimemuita huyo mpiga wiring mwenyewe anasema hakuna tatizo ni kawaida (means ameshindwa kujua tatizo)
Sisi wengine tuna tabia ya kutopenda mwanga basi naona taabu sana usiku hata usingizi wa maana sipati
Nilikuwa na utaratibu wa kunyofoa taa zote ndani muda wa kulala lakini nao una usumbufu kiaina
Nimekuja kugundua karibu mtaa mzima tuna hilo tatizo (fundi wiring ni huyohuyo) tofauti kwa wenzangu ni taa moja au mbili ila ngoma kwangu ni taa zote!
Shida kubwa ni hiyo ya mwanga nikiwa nimelala lakini pia nahofia kuwaka huko kwa mfifio isije ikawa zinaendelea kunywa umeme
Upo sahihi,Although kuna anayesema ni neutral cable ila kuna hizi taa kama bulbs za wkt huu, zinapokaribia kuisha life spam yake pia naona hicho kitu.
Na kuna fundi huwa wanarekebisha huo ugonjwa plus kuiajust iendelee ma maisha.
Ni tatizo dogo au ni tatizo, dogo.Cheki fundi mwingine hilo tatizo dogo wala asikwambie ni kawaida