Karibu tanzania. Sisi tulishahoji mpaka tumechokaAsalaam Aleykum wapenzi wana jf.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja...
Bank yako ukitaka kununua mtandaoni wanakuzuia? Unanunuaje kitu mtandaoni kwa cash?Asalaam Aleykum wapenzi wana jf.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja...
Kwani vile viwanda tuliambiwa viko elfu8 kila mkoa havipo tena?Kwani tunaexport nini?
Labda marekani wanajaribu ku control inflation.Asalaam Aleykum wapenzi wana jf.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja...
Hapa na mm nimeshangaa,Bank yako ukitaka kununua mtandaoni wanakuzuia? Unanunuaje kitu mtandaoni kwa cash?
Yule mwendawazimu alisema cherehani zikifika 2 ni kiwanda tayari!Kwani vile viwanda tuliambiwa viko elfu8 kila mkoa havipo tena?
Mauzo ya nje yameporomoka mkuu, hatuna chakuuza nje tena, tunauza SIASA na bado.Asalaam Aleykum wapenzi wana jf.
Ama baada ya salamu hizo, niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kwa wiki nzima nimekuwa nahaha kupata walau dola za Marekani 200 ili nifanye kununua vifaa fulani kwa njia ya mtandao, bila mafanikio!...
Hali ni mbaya sana..Karibu tanzania. Sisi tulishahoji mpaka tumechoka
1. Kwa mara ya kwanza dola imefika Tsh 2500 je uchumi ndio unapaa?
2. Arusha hakuna Dola kabisa!
1. MadiniKwani tunaexport nini?
Kwa kweli, hili la dola kuuzwa 2700 halikubaliki kwa kweli.Iko black market ya Dola umerudi kwa Kasi kubwa. Imeathiri Sana uchumi.
Wanataka uwapelekee dola MkuuBank yako ukitaka kununua mtandaoni wanakuzuia? Unanunuaje kitu mtandaoni kwa cash?
sina Mastercard MkuuHapa na mm nimeshangaa,
Wakati unaweza nunua kitu kwa mastercard tu easy bila kujua hata rate ipoje, yeye ananunua kitu mtandaon anaenda kubadili hela bank ππππππ
Account yangu haiwezi kufanya online purchase Mkuu.Sijaelewa kitu kimoja mleta mada yaani kufanya purchase online na cash unazohitaji vina uhusiano gani?