Nini sababu ya ukosefu/upungufu wa dola za Marekani nchini?

Nadhani hiyo ni technical issue kama haifanyi maybe haijawa intergrated kufanya online purchase jaribu kulink app uliyonayo na bank credentials zako.
Account yangu haiwezi kufanya online purchase Mkuu.
Itabidi nifanye taratibu za kuibadilisha..
Lakini ujumbe wa muhimu hapa ilikuwa ni kusema hakuna au kuna upungufu mkubwa sana wa USD nchin
 
Watasingizia export lakini ukweli ni wizi na utoroshwaji wa pesa nje
 
Kwa sababu hakuna kitu au bidhaa yoyote ile ya maana tunayozalisha hapa Tz na kuuza nje ya nchi hii(Too much Imports than Exports). Tanzania just Export almost Nothing, so, How can you get the Foreign Currencies in a such situations???
 
Unanunua $$ kulipia bidhaa mtandaoni? Je, una bank account? Mimi bank yangu inatoa credit card na nikitaka kununua kitu kwa mtandaoni au hata dukani (nikiwa nje au ndani ya nchi) natumia hiyo card. Sasa wewe ukishapata cash in $$ unalipiaje online! Au pesa yako unaificha ndani! Aaangalia saana, siku moja itaungulia ndani.
 
Tatizo la upatikanaji wa dollar sio Tanzania tu bali ni nchi nyingi pia kutokana na kupungua kwa akiba ya fedha za kigeni benki kuu.
Hii miradi mikubwa tunayofanya sasa inahitaji dollar nyingi pia ukiongeza na kununu bifhaa na huduma kutoka nje kama mafuta n..k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…