Aluatanitwentipa
Member
- Feb 27, 2018
- 13
- 9
Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?
Asanteni
Asanteni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThanxKusimamisha Mara kwa Mara husababishwa na sababu nying lkn mojawapo ni ugonjwa wa kurithi uitwao Sickle cell disease....ukiwa nao huu utakuwa na tatzo LA kusimamisha hata Massa matatu na misuli itaanza kuuma...kitaalamu inaitwa "Priapism"... So u can go to hospital for treatment
Mkuu hebu jinagalie huenda unakula protini nyingi sana, hebu punguza.Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?
Asanteni
Mwenye punyeto kitu kinasimama mpaka apige "HENDELI"Acha punyeto.
We jamaa mkali imebidi niingie google maana wameeleza pia kwa watu waliotumia bangi na cocaine pia wanakumbwa na tatizo hiliKusimamisha Mara kwa Mara husababishwa na sababu nying lkn mojawapo ni ugonjwa wa kurithi uitwao Sickle cell disease....ukiwa nao huu utakuwa na tatzo LA kusimamisha hata Massa matatu na misuli itaanza kuuma...kitaalamu inaitwa "Priapism"... So u can go to hospital for treatment
Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?
Asanteni
We jamaa una akili mbovu yani unataka ugojwaUngetusaidia sisi wengine, kitu gani unakula ata ikiwa hivo.? wenzio tunatafuta iyo kitu
Na ikisimama muda mrefu pia ni majanga mkuuPengine labda watu ambao wana experience premature ejaculation wavute bangi na kula vyakula vya protein kwa wingi