Nini sababu ya uume kusimama mara kwa mara?

Joined
Feb 27, 2018
Posts
13
Reaction score
9
Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?

Asanteni
 
Kusimamisha Mara kwa Mara husababishwa na sababu nying lkn mojawapo ni ugonjwa wa kurithi uitwao Sickle cell disease....ukiwa nao huu utakuwa na tatzo LA kusimamisha hata Massa matatu na misuli itaanza kuuma...kitaalamu inaitwa "Priapism"... So u can go to hospital for treatment
 
Thanx
 
Ilinitokea hiyo kipindi naumwa U,t,i.inachangiwa na maradhi katika sehemu nyeti.ila itaisha hiyo hali
 
Wakuu naomba mnisaidie nijue nini kinasababisha uume kusimama kila mara bila kichocheo chochote. Pia nina tatizo la kuumwa na korodani. Je kunasababishwa na nini?

Asanteni
Mkuu hebu jinagalie huenda unakula protini nyingi sana, hebu punguza.
 
Mkuu bila shaka unakula vyakula vyenye madini ya zinc hii hupelekea uzalishwaji wa hormone ye testorene kwa wingi hivo kukupa hamasa ya kushiriki tendo kila mara vyakula hivyo ni kama samaki wa aina zote pamoja na nyama nyekundu wa kifupi protein nyingi.
 
We jamaa mkali imebidi niingie google maana wameeleza pia kwa watu waliotumia bangi na cocaine pia wanakumbwa na tatizo hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…