Nini sababu ya vifo vya kila siku vya WaTanzania ughaibuni?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆmzee baba ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข

Ndugu zangu watanzania tumepatwa na msiba mwingine wa ndugu yetu ally alawi............๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข

Ally Alawi amefariki tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ......

Ally Ally ni baharia ambaye alikuwa anaishi ktk mji wa Mosselbay Afrika Kusini ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข

Panapo majaliwa kesho siku ya jumanne ndugu yetu Ally Alawi atazikwa katika makaburi ya kwa bint mussa kiwalani๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข

Msiba utakuwepo Tandika Forma karibu na shule ya majaribio au sakafa......

Rest in peace baharia ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข๐Ÿ’ข
 
Cha kwanza kabisa huyo Ali alawi hajafariki ughaibuni,, kama ambavyo mnavyofikilia ninyi kila msiba anaopost msangi basi mtu kafia dizonga,, huyo Ali alawi aliondoka huku tangu mwaka 2018 mwishoni,, alikuja 2017 kifupi alikaa mwaka mmoja tu kama na nusu dizonga,, na suala la kufa hata bongo watu wanakufa sana tena ukichukulia mathalani wilaya moja tu kwa mfano,, isipokuwa haitangazwi wala kupostiwa kama wanavyopostiwa wasafiri kwenye hilo grupu,,
 
Sitosahau nilikuwa stubbed 6 times pale capetown ICU for five days kiufupi south africa ni hell its a bullshit country. Ushauri wangu mabaharia wenzangu sanukeni njooni europe au marekani mtapata maisha msidanganyike na chupi za kikhosa na kizulu mnapoteza muda sana dizonga. Viza bongo zinatoka sana msigande.
 
Mtanzania kufariki south Africa ni jambo la kawaida sanaaa ,we mtoa mada labda kama ni mgeni ..kila Siku wanaletwa maiti ..nature ya maisha yao huko ndio tatizo..wengi wapo kwenye magenge ya wahuni, ujambazi na uporaji, madawa ya kulevya etc...usalama mdogo sana wa maisha South Africa anytime unaweza piga shaba...kama una ndugu yako akirudi salama ni jambo la kumshukuru Mungu.
 
Kwan huku ndo Hawafi.ushamba wa kutembea bwana
 
Sitosahau nilikuwa stubbed 6 times pale capetown ICU for five days kiufupi south africa ni hell its a bullshit country. Ushauri wangu mabaharia wenzangu sanukeni njooni europe au marekani mtapata maisha msidanganyike na chupi za kikhosa na kizulu mnapoteza muda sana dizonga. Viza bongo zinatoka sana msigande.
Nataka niende nchi za waislamu wenye dini ya haki kinatafute maisha. Nchi gani nzuri ya kuishi?
Nimependa sana kuishi Tunisia maana ina waislamu 99%.
 
Bado mabaharia hawaelewi ule msemo wa sasa south siyo afrika
 
Back
Top Bottom