Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.

Mfano wa picha katika viumbeView attachment 2095728
View attachment 2095729View attachment 2095730View attachment 2095731
Hii ni mating reasons. Wanyama hawana utashi, wanyama wa kiume hawezi kuwa na utashi kumvutia mwanamke ndio maana ikawekwa me wanyama ni wazuri na wanavutia kuliko ke wanyama hivyo kwenye mating haitakuwa kazi mnyama ke kumkubali mnyama me. Binadamu wana utashi kiasi kwamba hata mtu akiwa havutii atatumia njia nyingi kumshawishi mwanamke ikiwemo njia kuu PESA!
 
Hakuna usawa wa mwanaume na mwanamke, kuanzia mifumo ya mwili mpka muonekano, ni tofaut kabsa, ni vibaya sana kuwalinganishwa watu wa jinsia tofaut

Mkuu hapo kwenye muonekano sio ki maumbile please usinielewe ovyo
 
Ndo ujue kwamba kwanini Adam alivyosema kuwa Hawa ndo alimdanganya kwanini Mungu alichukizwa na lile jibu, Yaani anajua kuwa Mwanaume ndo alikuumba kwa ukamilifu wote then Leo uje useme ubavu wako ndo umekudanganya ule, Asee Mungu alimdharau sana Adam, So wanaume tunachotakiwa kwanza ni kujikubali na kujipa uthamani, Acheni kuzitukuza hizi Pisi kisa papuchi... Tunajiaibisha kwa Mungu.

Sent from my TECNO CE9 using JamiiForums mobile app
Comment ya kiume hii dadekii. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Sijui sababu ni nini inapelekea jambo hilo,, kwa sababu nimejaribu sana kuangalia wanyama wengi, wadudu, ndege na hata samaki; jinsia ya kiume huwa na mionekano mizuri kuliko jinsia ya kike. Labda isipokuwa kwetu binadamu na nyoka hatutofautiani sana baina yetu.

Mfano wa picha katika viumbeView attachment 2095728
View attachment 2095729View attachment 2095730View attachment 2095731
Mimi nina shida na jinsia yako tu. Kama ni mwanamke, basi unastahili pongezi. Ila kama ni mwanaume, basi unahitaji viboko.

Maana mimi hapa nilipo, naona hakuna viumbe vinanivutia hapa duniani kama viumbe aina ya binadamu, jinsia ya kike!
 
Back
Top Bottom