Nini sababu ya viumbe vingi vya kiume vinavutia kimuonekano kuliko vya kike?

Hii ni mating reasons. Wanyama hawana utashi, wanyama wa kiume hawezi kuwa na utashi kumvutia mwanamke ndio maana ikawekwa me wanyama ni wazuri na wanavutia kuliko ke wanyama hivyo kwenye mating haitakuwa kazi mnyama ke kumkubali mnyama me. Binadamu wana utashi kiasi kwamba hata mtu akiwa havutii atatumia njia nyingi kumshawishi mwanamke ikiwemo njia kuu PESA!
 
Hakuna usawa wa mwanaume na mwanamke, kuanzia mifumo ya mwili mpka muonekano, ni tofaut kabsa, ni vibaya sana kuwalinganishwa watu wa jinsia tofaut

Mkuu hapo kwenye muonekano sio ki maumbile please usinielewe ovyo
 
Comment ya kiume hii dadekii. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mimi nina shida na jinsia yako tu. Kama ni mwanamke, basi unastahili pongezi. Ila kama ni mwanaume, basi unahitaji viboko.

Maana mimi hapa nilipo, naona hakuna viumbe vinanivutia hapa duniani kama viumbe aina ya binadamu, jinsia ya kike!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…